KIDE BOY MNYAMA BLOG KIDEBOYMNYAMA WEBSITE KIDE BWAY KIDEBWAYMNYAMA

Kide Boy Mnyama Is Tanzania Number One Blog Which Deal With Publish Music And Video Entertainment And Come After Kide Bway Mnyama Tz

Saturday, February 15, 2020

Download Mp3 Audio | Catherine Adrath - Damu Ya Yesu

Catherine Adrath - Damu Ya Yesu
Download Mp3 Audio | Catherine Adrath - Damu Ya Yesu
Habari Njema kutoka Tanzania mwimbaji wa nyimbo za Injili "Catherine Adrath" ameachia wimbo mpya unaoitwa "DAMU YA YESU" kwa mara ya kwanza katika mwaka 2020.

“Iko nguvu katika Damu ya Yesu inanena mema juu yetu, inatukomboa, inatutakasa, inatusafisha, inatufungua
Inaondoa dhambi na kutuletea msamaha unaompa Mungu uhalali wa kutenda maishani mwetu.” – Catherine

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen

No comments:

Post a Comment